Entertainment and Lifestyle

#Tribe43: Mike Sonko kwa noma

Juzi senator wa Nai Mike Sonko amejipata kwa noma ya wasee wa environment baada ya kusema kama atachaguliwa kuwa gavana wa Nai, atachange Uhuru Park iwe terminal ya mandai kutoka Eastlando.

Hii riba ilihappen vile alikuwa interview ya mbulu, na akawa amechelewa kufika on time. Kuna vile raia wa maneno ya environment wamekula garbanaba na yeye, juu hii story imewakatsia.

Mchizi mmoja wa Go Green alichapia Tribe 43 kuwa hiyo ni issue ingine tricky sana juu kuna ma heroine kama Wangari Mathai walikula teargas  na kuchapwa na makarao time ya Nyayo juu ya hiyo story. So far, Sonko ametuliza ikifikia ni hiyo story.

Show More

Related Articles

Close