K24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

El Nino: Wengi hawaelewi sio hali tu ya mvua kubwa


Neno El nino ni jina lisilogeni kwetu hapa nchini Kenya. Lakini wengi wanaelewa tu kwamba ni mvua. Ukweli ni kwamba ni mabadiliko ya hali ya anga, kumaanisha huenda ikawa mvua au hata joto jingi nyakati tofauti. Mwanahabari wetu Gordon Odhiambo anatuarifu mengi kuhusiana na hali hiyo, na ni vipi tunaweza kujitayarisha ipasavyo kukabiliana na hali yote ya hanga endapo itabadilika.

Show More

Related Articles

Close