HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Kibarua cha kuvuka mto Nzoia kwa dau ni hatari kwa usalama

Wakati mwingine , matatizo hupelekea kuhatarisha maisha kuonekane kuwa jambo la kawaida tu miongoni mwa wanadamu. Kwa mfano, suala la kutumia mipira ya magurudumu  ili kuvuka mito mikubwa huenda lisichangamkiwe na wakenya wengi. Lakini kwa wenyeji wanaoishi katika  maeneo ya Moi Scheme na Moi Farm ,maeneo ya Magharibi mwa nchi,  wamezoea kutumia mipira hiyo kuvuka Mto Nzoia  kwani hakuna daraja. Franklin Macharia anasumilia masaibu ya jamaa hawa kwenye makala ya wiki hii ya kufa kupona.

Show More

Related Articles

Close