HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Kufa Kupona: Kazi ya kuchimba madini Taita Taveta

Kazi ya kuchimba madini , inahitaji ukakamavu , na kujitolea hanga. kuanzia suala la kuvumilia vumbi nyingi, na lile la kuingia kwenye migodi yenye kina kirefu , na kupasua mawe, huu ukiwa ni mseto wa maisha ya kufa kupina. Kwenye makala ya wiki hii ya Kufa Kupona, Franklin Macharia anaangazia wachimba migodi wa chawia , eneo la mkuki, kaunti ya Taita Taveta.

Show More

Related Articles

Close