HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Mawakili watishia kumngatua Inspekta Joseph Boinet


Baadhi ya viongozi wa kisiasa kutoka mrengo wa Jubilee sasa wamempa inspekta mkuu wa polisi Joseph Boinnet makataa ya siku saba kuwakamata washukiwa wengine wa mauaji ya kikatili dhidi ya wakili Willy Kimani la sivyo waanzishe juhudi za kumwondoa afisini.
Wakiongozwa na seneta Kipchumba Murkomen wanasema sio maafisa watatu tu waliohusika kutekeleza unyama huo.

Haya yanajiri huku chama cha mawakili nchini kikitishia maandamano ya wiki nzima kulalamikia mauaji ya kinyama.

Show More

Related Articles

Close