HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Mke na mume watumbukia katika shimo la choo wakigombana Kangemi


Mwanamume mmoja na mkewe wamefariki baada ya kutumbukia katika shimo la choo mapema siku ya Jumamosi mtaani Kangemi jijini Nairobi.

Inadaiwa wawili hao walikuwa wakizozana na mkewe alikimbilia chooni ambapo alitumbukia ndani ya shimo.

Jaribio la mume kutaka kumuokoa mkewe likatumbukia nyon’go na wote wawili wakatumbukia na kufariki.

Dan Kaburu anatupa taswira kamili ya taarifa hiyo.

Show More

Related Articles

Close