HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Rai Mwilini : Masaibu ya maradhi ya saratani ya uso

Kijana mwenye umri wa miaka 24, anaugua maradhi ya Saratani ya uso maarufu Fibro Sarcoma hali ambayo imemwacha taabani katika umri mchanga.
Stephen Thuku ambaye hali yake imemzuia kufanya mambo ambayo kila mwanarika mwenza wa miaka 24 hufanya kama vile kufanya kazi kuoa na kadhalika amesalia na maskitiko mengi na maisha yake kusalia hospitalini. Grace Kuria aatuarifu zaidi.

Show More

Related Articles

Close