BiasharaHabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Safari na pandashuka ya benki iliyonawiri na kufanikiwa

Kwa wengine wetu jina Peter Munga ni geni. Ila kwa Wakenya waliokuwepo katika sekta ya Juakali na ukulima wa majani chai na kahawa mwaka 1984 wanamfahamu kama mkenya mjasiri aliyeanzisha benki ya Equity Building Society. [ad id=”11″]Tatizo la kubaguliwa katika sekta ya benki   lilimpa Peter Munga azma ya kufungua benki itakayowapa nafasi wafanyibiashara kupata mikopo na kuwekeza katika chumba kimoja kidogo mjini Murang’a. Mwanahabari mwenza Isabella Kituri alikutana naye Munga na anatudokezea mengi.

Show More

Related Articles

Close