BiasharaHabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Shoka la KRA : Magari ya kifahari yaliyoingizwa kimagendo yalengwa

Baada ya mamlaka ya utozaji ushuru nchini kra kuamuru kusalimishwa kwa magari 124 ya kifahari hapo juzi kwa tuhumu za kukwepa kulipa ushuru, mamlaka hiyo mapema Jumatatu ilifanya msako katika kampuni zinazouza magari ili kuyanasa  magari husika .
hata hivyo, mamlaka hiyo ilifanikiwa tu kunasa gari moja kati ya yale yaliyolengwa na mengine mawili yaliyokosa stakabadhi muhimu za usajili huku mchakato wa ni vipi magari hayo huingizwa nchini ukisalia suala tata.

Show More

Related Articles

Close