BiasharaHabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Twaangazia utendakazi wa Gavana wa CBK, Patrick Njoroge, mwaka mmoja mamlakani


Gavana wa benki kuu nchini Patrick Njoroge amekuwa mtu mwenye kuhusihwa na mageuzi mema katika sekta ya benki na taasisi za kifedha. Huku akikamilisha mwaka mmoja kwenye wadhifa huo, twapigia msasa safari yake kufikia sasa. Ikumbukwe, chini ya uongozi wake, Gavana huyo ameyafanya mageuzi si haba yaliyopelekea benki tatu kuwekwa chini ya urasimu.

Show More

Related Articles

Close