HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Usalama,Elimu,Ugatuzi zapewa kipau mbele katika bajeti

Sekta ya usalama nchini imeibuka kuwa mojawepo ya sekta kuu nchini ambazo zimenufaika na mgao mkubwa kwenye makadirio ya bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2015/2016. Waziri wa fedha Henry Rotich akiwasilisha makadirio hayo bungeni leo amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kuwepo kwa usalama ndiposa biashara na ukuaji wa uchumi uafikiwe sawia na raia kujihisi salama ndiposa wajibidiishe kazini. Anders Ihachi anatathmini uhalisia wa bajeti hiyo itakayowagharimu wakenya kiasi cha shilingi trilioni 2.1.

 

Show More

Related Articles

Close