HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Wakaazi wa Meru watumia miraa kama malipo ya fungu la kumi kanisani


Zao la Miraa kwa baadhi ya wakenya na katika mataifa ya kigeni ni dawa ya kulevya, lakini kwa waumini wa Kikristo katika eneo la Meru miraa hutolewa kama fungu la kumi.

Mwanahabari wetu Gordon Odhiambo alishiriki na waumini wa kanisa la Kikatoliki Parokia ya Laare na kushuhudia Miraa ikitolewa kama fungu la kumi na baadaye kuuzwa kwa waumini waliyohudhuria.

Show More

Related Articles

Close