K24 TvSwahili VideosVideos

Waziri Nkaiserry atoa mpangilio mpya wa kutoa habari zinazohusu usalama

Waziri wa usalama Joseph Nkaiserry ameonya kitengo cha mawasiliano cha ikulu dhidi ya kuwasilisha taarifa zinazohusiana na usalama wa kitaifa. Nkaissery aliyeonekana mwenye ghadhabu amesema hakuna anayeruhusiwa kuwasilisha taarifa za usalama wa kitaifa ila yeye mwenyewe, Inspekta Jenerali wa Polisi, msemaji wa ikulu na yule wa polisi. Hatua ya Nkaissery imewadia kufuatia mkinzano wa taarifa hapo jana kuhusu shambulizi la kigaidi katika eneo la Yumbis kaunti ya Garissa, kama anavyotuarifu Kiama Kariuki.

Show More

Related Articles

Close