BiasharaMilele FmSwahili

AMANI kuwasilisha hoja bungeni

Chama cha Amani sasa kinanuia kuwasilisha bungeni hoja ya kuunda sheria ya kudhibiti mashirika ya kura ya maoni nchini. Hii ni kufuatia matokeo ya hivi bunde ya kura maoni iliyofanywa na shirika la info track kubaini kuwa rais Uhuru Kenyatta anaongoza kwa umaarufu akifuatiwa na kiongozi wea CORD Raila Odinga .Katibu mkuu wa AmaniGodfrey Osotsi amedai matokeo hayo si ya kuaminika kuwa kuwa yanafadhiliwa na watu wenye lengo la kuhujumu baadhi ya viongozi wa kisiasa. Amani pia kimeitisha kuvunjiliwa mbali kwa tume ya IEBC kutokana na jinsi ilivyoshughulikia kampeni ya CORD ya Okoa kenya na kuendesha uchaguzi mdogo wa kericho.

Show More

Related Articles

Close