BiasharaHabariMilele FmSwahili

Benki kuu ya dunia imetambua jitihada za Kenya kuwatambua akina mama

Benki kuu ya dunia imetambua jitihada za Kenya kuwatambua akina mama, watoto na vijana.Rais wa benki kuu ya dunia Jim Yong Kim anasema serikali imerahisisha upatikanaji wa huduma za afya kwa makundi hayo.Alisema haya wakati akihutubu katika kongamano kuhusu ustawi huk Addis Ababa Ethiopia.Rais Uhuru Kenyatta kwa upande wake alisema analenga kurahisisha zaidi upatikanaji wa huduma za afya kwa kupunguza gharama ya matibabu siku za mbeleni.

Show More

Related Articles

Close