BiasharaMilele FmSwahili

IEBC kupiga msasa majina ya wanaoamia vituo vingine

Licha ya viongozi wa kisiasa kuzua tetesi kuwa baadhi ya watu wanahamisha wananchi kujisajili kama wapiga kura katika maeneo mbalimbali humu nchini,tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC imedokeza kuwa itapiga msasa majina ya watu wanaohamisha vituo vyao vya kupiga kura kabla ya kuidhinisha uhamisho huo. Kamishna wa tume IEBC Albert Bwire ameelezea hofu yake kuwa huenda idadi kubwa ya watu wanaohamishwa kujisajili kwa katika eneo moja likazua vurugu wakati wa uchaguzi mkuu ujao iwapo watu hao walishinikizwa na mwanasiasa kufanya hivyo

Show More

Related Articles

Close