BiasharaMilele FmSwahili

KUPPET yatishia kuenda mahakamani

Muungano wa walimu wa shule za upili KUPPET umetishia kuelekea mahakamani kuzia serikali dhidi ya kuendelea na zoezi la kusaini utendakazi wa walimu. Naibu katibu wa KUPPET Moses Nthurima amelalama kukosa kuhusishwa kwa wadau wote katika shughuli hiyo. Anasema sharti walimu waongezwe mshahara kwanza kabla ya zoezi hilo kurejelewa. Ameilaumu tume ya kuwajiri walimu kwa masaibu walimu wanapitia likiwemo swala la knadarasi ya utendakazi.

Show More

Related Articles

Close