BiasharaMilele FmSwahili

Maafisa 3 wa polisi wanazuiliwa Sololo

Maafisa 3 wa polisinwanazuiliwa baada ya kukamatwa katika enero la sololo huko Moyale. 3 hao wanadaiwa kuwasaidirai 23 wa Ethiopia kuingia nchini kinyume na sheria . Raia hao walinaswa wakiwa katika nyumba moja katika enero la Kamae mtaani Kahawa westhapa Nairobi

Show More

Related Articles

Close