HabariMilele FmSwahili

Magavana wazingatie bajeti za afya kwa kaunti, asema Nanok

Mpangilio duni wa bajeti ndio umesababisha madaktari na wahudumu wengine wa afya katika kaunti kushiriki migomo kila mara kulalamikia mishahara na marupurpu yao. Magavana wametakiwa kuangazia upya jinsi ya kushughuliki bajeti za kaunti kuzua kusambaratisha sekta ya afya. health-600x330Mbunge wa Turkana magharibi Daniel Nanok anasema magavana hawapaswi kusingizia serikali kuu kufuatia masaibu yanayotokana na kasoro za bajeti zao. Aidha anakosoa mabunge ya kaunti kwa kutofuatilia kuhakikisha huduma za afya zinatengewa fedha za kutosha.

Show More

Related Articles

Close