HabariMilele FmSwahili

Mahakama: Mbunge wa Lari Joseph Kahangara hana kesi ya kujibu

Mahakama imefutilia mbali mashataka yaliyokuwa yakimkabili mbunge wa lari joseph mburu kahangara.Kahangara alishtakiwa kwa kumdhulumu afisa mmoja wa trafiki hapa Nairobi mwaka jana.Mbunge huyo anadaiwa kumuadhibu afisa huyo wa trafiki kwenye mzunguko wa globe hapa Nairobi baada ya kupatikana na makosa ya kukiuka sheria za trafiki.

Show More

Related Articles

Close