MichezoMilele FmSwahili

Malkia Stikers kusaka tiketi ya Olimpiki bila Janet Wanja

Timu ya taifa ya voliboli jkwa kinadada Malkia strikers itakosa huduma za nyota Janet Wanja ambaye amejiondoa kwenye timu hiyo kwa sababu ya mambo ametaja kuwa ya kibinafsi.

Kocha mkuu wa timu hiyo ya Malkia Strikers Paul Bitok atalazimika kuwatumia wachezaji Jane wacu,Joy Luseneka na Esther Mutinda kwenye michuano muhimu ya kufuzu kwa mashindano ya olimpiki ambayo itaandaliwa nchini Cameroon mwezi Ujao.

Meza ya uga milele imefaulu kumpata wanja ambaye ametupiilia mbali madai ya utovu wa nidhamu na kustaafu.

Kulingana na Wanja alitarajia kuwa kwenye timu hiyo ila amepatwa na mambo hangeweza kuyaepuka wakati tu.

Show More

Related Articles

Close