HabariMilele FmSwahili

Matiang’i :Idadi ya watu waliofariki kutokana na athari za mafuriko imefikia 150

Serikali sasa inasema idadi ya waliofariki kutokana mafuriko imefikia 150. Waziri wa usalama wa kitaifa Dr Fred Matiangi akizungumza kaunti ya Makueni moja wapo wa kaunti zilizoathirika na mvua, Matiangi ameawaamrisha machifu kuwapa usalama waathiriwa waliohamia kambi za serikali

Wakati hu mtu mmoja amefariki na mwingine kulazwa katika hospitali ya mama Lucy hapa Nairobi baada ya nyumba walimokuwa wamelalama usiku wa kuamkia leo eneo la Molem hapa Nairobi kuporomoka.

Mkuu wa polisi eneo la Kayole Anderson Bungei aliyezuru eneo  hilo ansaema mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia leo ndio imesababisha nyumba hiyo kuporomoka. Bungei kadhalika amewaonya weneyji wanaishi nyumba hatari kuahamia nyumba salama kwa hofu ya kuporomoka

Show More

Related Articles

Close