HabariMilele FmSwahili

Mtangazaji wa runinga ya K24 Anjlee Gadhvi afariki kutona na ugonjwa wa saratani

Mtangazaji wa runinga  ya K24 Anjlee Gadhvi ameaga dunia. Anjlee ambaye amekuwa akiugua ugonjwa wa saratani  amefariki akipokea matibabu katika hospitali ya Aga Khan.

Msimamizi wa kituo cha televisheni cha K24 Peter Opondo amemtaja Anjlee kama mfanyikazi  aliyejitolea licha ya kukabiliana na saratani.

Kampuni ya Mediamax imetuma risala zake  kwa familia jamaa na marafiki wa mwendazake.

Show More

Related Articles

Close