BurudaniMilele FmSwahili

Museveni ataniwa kwa kupokea simu barabarani

Hatua ya Rais wa Uganda Museveni kupokea simu barabarani imezua mijadala katika mitandao ya kijamii. Picha za utani za watu wakitumia mtindo huo wa kupiga simu zimekuwa zikisambaa katika mitandao ya kijamii.

Show More

Related Articles

Close