HabariMilele FmSwahili

Mwili wa mwanamme aliyejirusha katika kivuko cha feri Jumamosi wapatikana

Mwili wa mwanamme aliyejirusha katika kivuko  cha Likoni feri siku ya Jumamosi umepatikana.

Mwili huo umepatikana leo kando ya bahari karibu na afisi  za base Taitenium.

Marehemu ambaye bado hajatambulika  alijirusha baada ya kuabiri feri ya Mv Harambee. Mwili wake umehifadhiwa katika chumba cha maiti cha Makadara ukisubiri kutambuliwa.

Show More

Related Articles

Close