MakalaMilele FmSwahili

Ni adhabu au mateso?

Kwa mara ya kwanza wazazi waliweza kupata picha za mikono ya watoto wao wakiwa wamemenyeka mikono kufuatia adhabu kali waliopewa na mwalimu wao katika shule moja huko China .
Wanafunzi hao waliweza kuwaeleza wazazi wao kwamba hayo vidonda waliyapata kufuatia adhabu waliopewa na mwalimu wao wa PE baada ya kujaribu kutoroka na kuhepa darasa.[ad id=”178821″] Screen Shot 2015-11-18 at 9.58.22 AM
Mwalimu huyo alijitetea kwamba alikuwa anawaadhibu wanafunzi hao na kuwatia adabu.Aliweza kuwalazimisha watoto hao kutembee kwa mikono.
Kinaya ni kwamba wanafunzi hao waliwakataza wazazi wao kumchukulia hutua ya kisheria mwalimu huyo wakidai wao ndio walifanya kosa.
Swali ni kwamba je hata kama ni Adhabu hii kweli ni adhabu au mateso ?

Show More

Related Articles

Close