HabariMilele FmSwahili

Nkaissery akashifiwa kwa kile kimetajwa kama kuhujumu uhuru wa kujieleza

Waziri wa maswala ya ndani Joseph Nkaissery amekashifiwa kwa kile kimetajwa kama kuhujumu uhuru wa kujieleza.Mbunge wa Ugunja Opiyo Wandayi anasema serikali inahujumu vita dhidi ya ufisadi kwa kukandamiza uhuru wa wanahabari.Akigusia kutiwa mbaroni kwa muda mwanahabari wa shirika la Nation jana Wandayi ametishia kuwasilisha hoja bungeni dhidi ya Nkaissery

Show More

Related Articles

Close