HabariMilele FmSwahili

Polisi 2 wauwawa katika mtaa wa Obama eneo la Kayole hapa jijini Nairobi

Polisi wawili wauawa katika mtaa wa Obama eneo la Kayole hapa jijini Nairobi mwendo wa saa tisa asubuhi.

Akidokezea Milele Fm mauaji hayo,OCPD Wilson Kosgey amedhibitisha kuwa wawili hao walikuwa wakishika doria katika eneo hilo kabla ya mauaji hayo.

Inadaiwa waliotekeleza mauaji hayo walitoweka na bunduki aina ya ak 47 na pistol ya aina ya Jericho

Show More

Related Articles

Close