HabariMilele FmSwahili

Seneta Cherargei aachiliwa kwa dhamana baada ya kukamatwa kwa madai ya uchochezi

Seneta wa Nandi Samson Cherargei  ameachiliwa kwa thamana ya shilingi 300,000 baada ya kushtakiwa kwa madai ya uchochezi.

Cherargei aliyewasilishwa katika mahakama ya Milimani   anadaiwa kutoa semi za uchochezi katika shule ya msingi ya Kilibwoni mwezi Agosti mwaka huu.

Seneta huyo alikamatwa  mapema leo na maafisa wa DCI.

Show More

Related Articles

Close