HabariMilele FmSwahili

Shule za msingi na za Sekondari kufunguliwa tarehe 6 Januari

Shule za msingi na zile za sekondari muhula ujao wa kwanza zitafunguliwa  Januari 6.

Ujumbe kutoka wizara ya elimu unasema muhula huo unastahili kukamilika  Aprili 10 wanafunzi wakitarajiwa kusoma majuma 14.

Kwa mujibu wa tarifa hizo wanafunzi watalekea kwenye mapumziko ya muda muhula huo kuanzia Februari tarehe 14 hadi 21

Show More

Related Articles

Close