BurudaniMilele FmSwahili

Wajumbe wa ODM Budalangi watangaza kujiondoa chama cha ODM

Wajumbe wa chama cha ODM huko Budalangi kaunti ya Busia wametangaza kujiondoa kwenye chama hicho. Ni uamuzi walioafikia baada ya mkutano uliohudhuriwa na mbunge Ababu Namwamba ambaye pia katibu wa kitaifa wa ODM. Wajumbe hao sasa wanasubiri mwelekeo kutoka kwa Ababu kuhusu chama watakachoelekea.

Show More

Related Articles

Close