BiasharaMilele FmSwahili

Wanasiasa 8 waliokuwa wamezuiliwa waachiliwa kwa Bondi

Wabunge Moses Kuria na Ferdinard Waititu wamewachiliwa kwa bondi ya shilingi milioni tano au dhamana ya milioni 2 kila mmoja. Akitoa uamuzi huo jaji Daniel Ogembo amesema uamuzi wake umechukuliwa kwa kuzingatia kesi mbalimbali ambazo wawili hao bado wanakabilwia nazo katika mahakama. Hata hivyo wabunge Junet Mohammed, Aisha Jumwa, Timothy Bosire, Florence Mutua na seneta Johnston Muthama wameachilwia kwa bondi ya milioni moja au dhamana ya laki tano. Jaji huyo ametoa onyo kali kwa wanasiasa hao.

Show More

Related Articles

Close