BiasharaHabariMilele Fm

Ziara ya Barack nchini Saudi Arabia kuanza leo

Rais wa marekani Barack Obama anawasili nchini Saudi Arabia hii leo, wakati ambapo kuna mvutano kati ya Marekani na Saudia kutokana na vita vya Islamic state na makubaliano ya nuklia na Iran. Obama atafanya mazungumzo na mfalme wa Saudi Arabia, Salman kabla ya kuhudhuria mkutano wa nchi za ghuba siku ya alhamisi.

Show More

Related Articles

Close