November 19, 2019

  Marufuku ya matumizi ya ndege za Dash 8 zinazomilikiwa na Silverstone yafutiliwa mbali

  Mamlaka ya uchukuzi wa angani imefutilia mbali marufuku ya matumizi ya ndege za Dash 8 zinazomilikiwa na kampuni ya Silverstone.…
  November 19, 2019

  Imran Okoth aapishwa rasmi kuwa mbuge wa Kibra

  Okoth Benard Otieno almaarifu Imran Okoth ameapishwa rasmi kuwa mbunge wa Kibra. Imran ameapishwa katika kikao cha bunge alasiri ya…
  November 19, 2019

  Joseph Muchiri mshukiwa wa mauaji ya mkewe Faith Wangui apatikana amejitia kitanzi uko Mau Narok

  Joseph Muchiri mshukiwa mkuu wa mauaji ya mwanamke mmoja mjini Nakuru amepatikana amejiuwa kwa kujitia kitanzi uko Mau Narok .…
  November 19, 2019

  Rais Kenyatta kuteketeza bunduki 8,745 haramu kaunti ya Kajiado

  Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa wakati wowote sasa kuendesha shughuli ya kuteketeza takriban bunduki haramu 8,766 katika kambi ya mafunzo ya…
  November 19, 2019

  Wanafunzi waliofanya vyema katika mtihani wa KCPE waendelea kusherehekea kote nchini

  Familia na jamaa za wanafunzi waliofanya vyema katika mtihani¬† wa KCPE bado zinasherehekea ushindi wao. Katika kituo cha kurekebisha tabia…
  Close