Entertainment and LifestyleFeaturesPeople Daily

Concert ya wafungwa

Yessaya lafamilia yote ya Tribe 43 inatoa rambi rambi kwa familia zote za warembo tulipoteza barabarani na Kisii tragedy. Goon too soon lakini ilikuwa life well lived Jah awaeke place poa.

Huku kama kawa ni ku give thanks kwa siku ingine mpya na kujengana value kwa kila human kwa surface ya earth. Jeshi ya Okoa Talanta leo imekusanya wasanii na wazito kwa jamii kudunda Industrial area kwa Concert for Wafungwa.

Hii ni mara ya tuta hii maneno inafanyika na ni initiative mzuka sana ju jeshi iko mneti inapata hope na ni njia jamo ya rehabilitation kwa hao youth.

Ma lawyers na wao wamekula ndimu na wakaamua kazi hii wiki ni story wakiprotest after mmoja wao kugenya under mysterious circumstances.

Miili ya lawyer Willie Kimani, client wake Joseph Mwenda na dere wa taxi Joseph Muiruri zilipatikana zimetupwa huko Oldonyo Sabuk kwa mto. Kuna vile wasee pia wamekuwa vocal juu ya hii riba na wanazushia gava story ya extra judicial killings.

Kama Tribe 43 family, tunatuma rambirambi zetu kwa family hao ma hustler wa Sir Jah. Hii wiki pia motorists waliangukiwa na ngori ya Netanyahu. (Huyu ni Prime Minister wa Israel kwa wale radar yao bado ni dim).

So kama ulipatikana kwa jam hii wiki, you can blame it on the Netanyahu visit though pia alitoa pole. Walibonga na na Uhunye, na kuna vile ma students wa huku wataenda Israel kusomea mambo ya irrigation na pia Israel itahelp Kenya ku fight hii ngori ya terrorism.

Show More

Related Articles

Close