BiasharaPilipili Fm

Bei Za Bidhaa Sokoni.

Gunia la viazi limeuzwa kwa shilingi 6,000 huku kreti kubwa ikiuzwa kwa shilingi  600 na shilingi 500 ile ya kati ikiuzwa kwa shilingi 400  na shilingi 300 na ndogo kabisa ikuzwa shilingi 200.

Kreti ya tomato imeuzwa kati ya shilingi 6000 na shilingi 3,500 huku kilo moja ya tomato ikipatikana kwa shilingi 150.

Neti ya vitunguu imeuzwa kwa shilingi 1,300 huku kilo moja ikiuzwa kwa shilingi 140

Neti ya vitungu saumu imeuzwa kwa shilingi 2000 huku kilomoja ikiuzwa kwa shilingi 250 kitunguu kimoja kimeuzwa kwa shilingi 20.

Gunia la sukuma limeuzwa kwa shilingi 2600 huku kilo moja ikiuzwa kwa shilingi 50.

 

Show More

Related Articles

Close