MichezoPilipili FmPilipili FM News

Mombasa Iko Tayari Kuandaa Mashindano Ya CHAN Asema Joho.

Kaunti ya Mombasa iko tayari kuandaa michuano ya mataifa ya bara afrika CHAN mwaka wa 2018.

Gavana wa  Mombasa Hassan Joho amesema shughuli za kuukarabati uwanja wa mombasa kuwa katika hali ya kimataifa zinaendelea kwa sasa, huku akiongeza kuwa mwanakandarasi yuko mbioni kukamilisha ukarabati wa uwanja huo.

Kaunti ya Mombasa ni miongoni mwa kaunti  ambazo zimeidhinishwa kuandaa mechi kubwa,  za michuano ya afrika mwaka 2018.

 

Show More

Related Articles

Close