Habari

Wazazi Watakiwa Kushirikiana Na Polisi Kukabiliana Na Uhalifu.

Kamanda wa polisi kanda ya Pwani Robert Kitur amewataka wazazi na wananchi kwa jumla kushirikiana na maafisa wa polisi ili kukabiliana na ukosefu wa usalama kwenye maeneo kadha ya Mombasa na sehemu za kaunti ya Lamu na Tana river
Kitur amesema anagadhabishwa na vitendo vinavyofanywa na watoto wa umri mdogo katika kanda ya pwani huku akisema wazazi wamechangia pakubwa kwa watoto hao kutekeleza uhalifu.

Show More

Related Articles

Close