HabariMilele FmSwahili

Joseph Muchiri mshukiwa wa mauaji ya mkewe Faith Wangui apatikana amejitia kitanzi uko Mau Narok

Joseph Muchiri mshukiwa mkuu wa mauaji ya mwanamke mmoja mjini Nakuru amepatikana amejiuwa kwa kujitia kitanzi uko Mau Narok .

Kamanda wa polisi Nakuru Stephen Matu anasema jamaa huyo amepatika amefariki eneo la Mau Narok Njoro mapema leo.

Mwili wa mkewe Muchiri Faith Wangui ulipatikana Jumamosi ukiwa umetupwa kaitka kichaka eneo la Menengai Crater

Show More

Related Articles

Close