BiasharaHabariSwahili

Matatu yateketezwa Naivasha

Wenyeji waliokuwa na ghadhabu wameteketeza matatu ilimgonga na kusababisha kifo cha mtoto huko Naivasha. Zaidi ya abiria 15 walinusurika kifo katika tukio hilo eneo la Kamere baada ya umaa kushambulia gari hilo kabla ya kuliteketeza moto. Ni kisa kilichoopelekea wahudumu matatu kwenye barabara hiyo kufunga barabra kulalamikia kisa hicho. Mtoto huyo mwanafuzi wa shule ya msingi ya Mvuke aligngwa na gari lililokuwa likielekea mjini Naivasha

Show More

Related Articles

Close