HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta kuteketeza bunduki 8,745 haramu kaunti ya Kajiado

Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa wakati wowote sasa kuendesha shughuli ya kuteketeza takriban bunduki haramu 8,766 katika kambi ya mafunzo ya Nyanjani ya maafisa wa GSU huko Magadi, kaunti ya Kajiado.

Shughuli hiyo inalenga kukabiliana na ulanguzi na utumizi wa silaha ndogondogo ili kuimarisha zaidi usalama nchini.

Bunduki hizi zinaarifiwa kuwa mikononi mwa raia hasaa wanaoishi kaskazini mashariki kwa mataifa..

Show More

Related Articles

Close